Skip to main content
Skip to main content

Makueni: mashabiki wa klabu ya Chelsea wajitosa katika kampeni ya kuchanga damu

  • | NTV Video
    31 views
    Katika juhudi za kutoa mchango kwa jamii, mashabiki wa klabu ya Chelsea kutoka ukanda wa kusini mashariki walijitosa katika kampeni ya kuchanga damu iliyofanyika katika hospitali ya Makindu, kaunti ya Makueni. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya