Mapadre Nyamira wasema wazazi wanapuuza majukumu yao

  • | Citizen TV
    123 views

    Mapadre wa kanisa Katoliki katika kaunti ya Nyamira wamewashauri wazazi kuwa waangalifu kwa wana wao wakati huu wa likizo, kutokana na kukithiri kwa visa vya uhalifu na matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana