Mapigano yazuka upya mjini Khartoum nchini Sudan

  • | Citizen TV
    1,259 views

    Ghasia kati ya majeshi ya serikali na vikosi pinzani zimeripotiwa upya katika mji mkuu wa sudan, khartoum na viungani mwake, saa chache baada ya mkataba wa saa 24 wa kusitisha mzozo huo kukamilika.