- 2,651 viewsDuration: 2:27Kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo Kikuu cha Multimedia ambaye MAITI YAKE Ilipatikana ndani ya tanGi la maji katika bweni la chuo hicho mwaka jana imeanza kusikiliZwa leo. Mashahidi 8 wametoa ushahidi wao kuhusu kifo cha Sylvia Kemunto huku mmoja wa mashahidi akifichua namna rafikiye ambaye ni mshukiwa mkuu wa mauaji hayo Eric Mutinda alivyokiri kuhusika baada ya mauaji hayo.