Mashindano ya Tenisi ya ITF J30 yalianza rasmi leo katika nyuga za Parklands Sports Club

  • | TV 47
    8 views

    Mashindano ya Tenisi ya ITF J30 yalianza rasmi leo.

    Kipute hiki kinaandaliwa katika nyuga za Parklands Sports Club.

    Jumla ya wachezaji 60 wanashiriki mwaka huu

    Kenya itawakilishwa na wachezaji 14.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __