- 5,816 viewsDuration: 1:29Viongozi mbalimbali wakiwemo wa kidini wameendelea kulaani matukio ya uhuuni yanayoendelea kushuhudiwa katika mikutano ya kisiasa hali inayotajwa kuwa hatari kwa utulivu na amani ya taifa. Mwakilishi wa kike kaunti ya Makueni Susan Kiamba sasa anamtaka waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kujiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na makundi ya wahuni.