- 178 viewsDuration: 2:37Wafanyakazi wa shirika la Posta watapokea jumla ya shilingi bilioni 1.5 zikiwa malipo ya malimbikizi ya mishahara yao kama sehemu ya juhudi za kufufua shirika hilo. Katibu katika idara ya utangazaji na mawasililiano, Stephen Isaboke amesema serikali iko radhi kulipa madeni ya shirika hilo ili kuwavutia wawekezaji na kulirejeshea hadhi yake. Mengi kuhusu taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive