Mkewe naibu wa rais awarai walimu wakubali mazungumzo

  • | Citizen TV
    124 views

    Mkewe Naibu wa Rais, Dorcas Gachagua, amewataka walimu kufanya mazungumzo zaidi na serikali ili kutatua changamoto ambazo zinachochea tishio la mgomo shule zitakapofunguliwa wiki ijayo kwa muhula wa tatu.