Skip to main content
Skip to main content

Moses Omondi Okoth wa chama cha ODM ametangazwa kuwa mbunge mteule wa Ugunja

  • | Citizen TV
    399 views
    Duration: 1:15
    Katika uchaguzi wa ubunge wa Ugunja Moses Omondi Okoth wa chama cha ODM ametangazwa kuwa mbunge mteule baada ya kupata kura 9,447 na kumbwaga mpinzani wake wa karibu Odhiambo Orodi wa wiper patriotic front aliyepata kura 1,819 .