Mpango mkakati wa KCIC lengo kuu ni kusaidia ubunifu wa biashara changa

  • | Citizen TV
    144 views

    Shirika la uvumbuzi wa kimazingira la KCIC limezindua mpango mkakati mpya kwa lengo la kusaidia ubunifu na biashara changa zinazohusika na mabadiliko ya hali ya anga