28 Nov 2025 1:26 pm | Citizen TV 1,182 views Duration: 2:09 Viongozi wa chama cha UDA sasa wanadai kuwa chama hicho kina umaarufu mkubwa katika kaunti ya Kajiado baada ya kushinda uchaguzi mdogo wa wadi ya Purko ambao ulikuwa na ushindani mkali kati yao na chama cha DCP.