Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa Jipange na Viusasa wafika Kakamega, wakaazi wakutana na watangazaji wao

  • | Citizen TV
    68 views
    Duration: 1:26
    Msafara wa Jipange na Viusasa kwa ushirikiano na Royal Media Services umeingia ukanda wa Magharibi, ambapo wakazi wa Kakamega wamepata fursa ya kipekee kukutana na watangazaji nguli wa Radio Citizen, Vuuka na Mulembe FM