- 126 viewsDuration: 5:55Msafara Wa jipange Na VIUSASA umeingia siku yake ya pili Katika ukanda Wa magharibi ambapo ujumbe wa VIUSASA unazidi kupokelewa vyema Na wakazi. Kampuni ya royal media services imeshirikiana Na VIUSASA kufanikisha maadhimisho ya miaka minane ya vipindi vya kusisimua kwenye kiunzi cha Viusasa.