Msafara wa M-pesa sokoni unaendelea kwa siku ya pili kaunti ya Nairobi

  • | Citizen TV
    67 views

    Msafara wa M-PESA sokoni umeingia siku yake ya pili katika kaunti ya Nairobi, hii leo wakazi wa Kambu na Ruiru wakipata fursa ya uhondo wa msafara. Kando na maafara kampuni ya safaricom inaendesha mafunzo kwa wafanyibiashara jinsi ya kujinyanyua kiuchumi kupitia jukwa la safire connect