Msimamo wa Azimio I Wabunge waliounga mkono mswada wa fedha kuadhibiwa

  • | KBC Video
    235 views

    Chama cha ODM kimezindua mchakato wa kuwaondoa ofisini wabunge sita wa chama hicho waliounga mkono mswada wa fedha wa mwaka 2024.Katibu mkuu wa chama hicho ambaye pia ni seneta wa kaunti ya Nairobi ,alisema wabunge hao wamekuwa na mtindo wa kukaidi msimamo wa chama.Wabunge hao ni Elisha Odhiambo wa Gem, Gideon Ochanda wa Bondo, Emmanuel Wangwe wa Navakholo, Bernard Shinali wa Ikolomani, Caroli Omondi wa Suba Kusini na Elijah Memusi wa Kajiado ya kati .Mwanahabari wetu Timothy Kipnusu na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive