Skip to main content
Skip to main content

Msimamo wa chama cha walimu wa sekondari msingi wasema walimu wa JSS wana mahitaji ya kipekee

  • | Citizen TV
    738 views
    Duration: 1:30
    Chama cha Walimu wa Shule za sekondari msingi, KEJUSTA, kimejitokeza tena kutaka uhuru kamili wa Shule hizo, kikisema wanafunzi na walimu wa JSS wana mahitaji ya kipekee yanayohitaji uongozi maalum. Katika taarifa yao, chama hicho kimezitaka KUPPET, TSC, Wizara ya Elimu na Rais kushirikiana na walimu wa JSS huku kikisema utekelezaji wa mtaala wa CBE una mapungufu ya kimfumo na kiutawala.