Mswada wa fedha waatarajiwa bungeni kesho

  • | Citizen TV
    656 views

    Huku tumbojoto la mswada wa fedha likiendelea, wabunge wanazidi kuvuta kamba upande wao huku baadhi wakisisitiza mswada huo una manufaa kwa wakenya na baadhi wakisema utaleta mahangaiko zaidi. Mswada wa fedha unatarajiwa kuwasilishwa bungeni hapo kesho kusomwa kwa mara ya pili kabla ya wabunge kuujadili.