6 Nov 2025 1:22 pm | Citizen TV 411 views Familia Moja kutoka Kijiji cha Mkuyuni eneo Bunge la Bumula kaunti ya Bungoma inahangaika baada ya mwana wao wa wiki mbili kupotea.