Mtu mmoja afa baada ya kupigwa risasi Rongo, Migori

  • | NTV Video
    262 views

    Mtu mmoja amethibitishwa kufariki dunia kaunti ya Migori kwneye maandamano ya leo dhidi ya serikali ya kenya kwanza yaliyoingia siku ya nane leo. Na hapa jijini Nairobi, wafanyabiashara wenye hamaki walijihami kwa mipini ya majembe na marungu kuzingira biashara zao, dhidi ya makundi ya vijana yaliyooonekana kuwa na nia ya kuendeleza uharibifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya