Mutua ahojiwa na bunge kuhusu kazi za Ughaibuni

  • | Citizen TV
    260 views

    Kamati ya Bunge kuhusu Masuala ya Wakenya wanaoishi ughaibuni imeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la kampuni na mawakala feki wanaowapunja pesa wananchi wnaaotafuta kaji Ughaibuni