Muungano wa madaktari KMPDU umetangaza kuchacha kwa mgomo wa madaktari

  • | K24 Video
    44 views

    Muungano wa madaktari KMPDU umetangaza kuchacha kwa mgomo wa madaktari baada ya mkutano kati yao na waziri nakhumicha kukosa kuzaa matunda. KMPDU imeilamu serikali kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa madaktari. Sasa inahofiwa matibabu katika hospitali kubwa za umma kama vile hospitali ya kitaifa ya Kenyatta na hospitali ya rufaa ya moi yataathirika zaidi