Muungano wa majeshi ya Afrika Mashariki yawaomba waasi kusalimisha silaha

  • | VOA Swahili
    19,250 views
    Muungano wa wanajeshi kutoka mataifa ya Afrika Mashariki imeyaomba makundi yote ya waasi yanayoshikilia silaha hasa M23 kusalimisha silaha. Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea kunoga nchini Qatar na huku Saudi Arabia ikiushangaza ulimwengu wa soka kwa kuishinda Argentina. - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.