Mvua kubwa iliyonyesha ijumaa iliyopita na kusababisha mafuriko jijini Nairobi pamoja na maeneo mengine ya nchi, leo imejadiliwa kwa kina katika kamati ya seneti kuhusu usalama wa kitaifa, ulinzi na masuala ya kigeni. Kamati hiyo ilikuwa na wasiwasi mkubwa kwamba hali hiyo inaweza kuwa tishio kwa usalama wa taifa. Mawaziri Geoffrey Ruku wa wizara ya utumishi wa umma na Beatrice Askul wa wizara ya maeneo kame, walitoa maelezo kuhusu jinsi nchi ilivyojiandaa kukabiliana na majanga haya.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya