Mvutano wa Koome na NPSC waathiri maafisa 500

  • | Citizen TV
    4,689 views

    Maafisa wa polisi 500 wanaotarajiwa kupandishwa vyeo wamejipata kwenye njia panda huku mgogoro kati ya tume ya huduma za polisi na Inspekta Jenerali Japhet Koome ukiendelea kwa wiki ya pili. Tume hiyo imebatilisha vyeo vilivyoidhinishwa na koome na kutangaza nafasi hizo kuwa wazi. Koome amewaonya maafisa wake dhiki ya kutuma maombi ya kazi kujaza nafasi hizo.