Skip to main content
Skip to main content

Mwakilishi wa kike wa Uasin Gishu Gladys Boss Sholei akinzana na gavana Jonathan Bii

  • | Citizen TV
    19,073 views
    Duration: 3:27
    Kizaazaa chatokea baina ya mwakilishi wa kike wa Uasin Gishu Gladys Boss Sholei na wakazi wa Moiben baada ya wakazi hao kumpinga Sholei kuzindua mradi wa serikali kuu ya matangi ya kuhifadhi maziwa . Wakazi hao wamtaka gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii kufika kwanza kabla ya mradi huo kuzinduliwa.