Mwakilishi Wadi James Barasa afariki Bungoma

  • | Citizen TV
    144 views

    Mwakilishi Wadi wa Chwele/Kabuchai katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma James Barasa Mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu katika hospitali moja mjini Bungoma baada ya kuugua ugonjwa wa saratani