- 907 viewsDuration: 2:30Mwanamume aliyefichua ufisadi katika kaunti ya Kisii ameshambuliwa kwa mara nyingine kwenye tukio lililoibua maswali kuhusiana na mikakati ya kuwalinda wafichuzi. Justin Siocha alivamiwa na kujeruhiwa baada ya watu wasiojulikana kuvamia gari lake akiwa na familia yake.