Nakuru yaweka marufuku ya uuzaji pombe stenI

  • | Citizen TV
    805 views

    Serikali ya kaunti ya Nakuru imepiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo ya kuegesha magari na sokoni. Haya yamejiri huku Naibu Rais Rigathi Gachagua akiongoza kikao cha kujadili mbinu za kukabiliana na pombe haramu na mihadarati katika eneo la mashariki mwa nchi ambapo amewaonya maafisa wa usalama wanaozembea katika vita hivi.