- 544 viewsDuration: 45sFerdinand Omanyala ameshinda mbio za mita 100 katika mashindano ya Diamond League yaliyofanyika Xiamen, akitumia muda wa sekunde 9.94, ambao ni bora zaidi kwake msimu huu. Ushindi huo unakuwa wa tano kwa Omanyala kushinda mbio chini ya sekunde 10 mwaka huu, akiendelea kuonyesha ubabe wake katika mbio fupi barani Afrika na duniani.