Skip to main content
Skip to main content

ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KILIFI LAWATIA HOFU WADAU WA AFYA

  • | KNA Video
    28 views
    Duration: 2:22
    Wadau wa afya katika kaunti ya Kilifi wamewataka vijana pamoja na wanawake wajawazito kukumbatia matumizi ya Lenacapavir ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi, kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi katika eneo hilo. Kwa mujibu wa maafisa wa afya, maambukizi miongoni mwa vijana wa umri wa miaka 15 hadi 24 yamefikia asilimia 40, huku maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yakiongezeka kutoka asilimia 13.8 mwaka jana hadi asilimia 19.5 mwaka huu.