Polisi wanasa genge la wizi wa magari hapa nchini

  • | K24 Video
    2,756 views

    Maafisa wa upelelezi wa DCI wameanzisha msako wa kuwatia nguvuni washukwa wa magenge ya wizi wa magari nchini. Kitengo maalum kilibuniwa kukabiliana na kero la wizi wa magari baada ya mamia ya wakenya kupiga ripoti kuwa magari yao yameibwa. DCI inawarai wale wote waliothiriwa na visa hivi kupiga ripoti au kutoa taarifa ya kuwasaidia kuwatia mbaroni washukiwa