- 1,360 viewsDuration: 6:15Mashirika ya kutetea haki za wanyama yanazidi kutoa tahadhari dhidi ya biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda, uchinjaji wa punda ukisalia marufuku nchini. Kwenye awamu ya tatu na ya mwisho ya makala maalum, Evans Asiba anaangazia juhudi za pamoja za kukomesha biashara hiyo.