13 Apr 2026 10:16 am | Citizen TV 5,515 views Duration: 5:39 Rais William Ruto ameanza ziara ya siku nne eneo la Gusii kwa lengo la kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika kaunti za kisii na nyamira.