Rais Ruto ameagiza visa vya kupotea kwa umeme kuangaziwa

  • | Citizen TV
    1,731 views

    Rais William Ruto ameagiza wizara ya kawi kutatua haraka kiini cha kupotea kwa umeme mara kwa mara nchini akisema matukio hayo yanalipaka tope taifa na kuwafukuza waekezaji.