Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto aongoza mkutano wa baraza kuu la UDA

  • | Citizen TV
    1,159 views
    Duration: 1:45
    Rais William Ruto amesema chama cha UDA kinajiimarisha kuhakikisha kinapata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Rais akisema kuwa ushirikiano wa chama cha UDA na ule wa ODM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 unalenga kuzoa ushindi wa kura milioni tatu dhidi ya wapinzani wa mrengo huo. Akizungumza kwenye mkutano wa baraza kuu la chama cha UDA katika ikulu ya Nairobi, rais Ruto alitangaza kwamba uchaguzi wa chama hicho utaendelezwa tarehe 7 na tarehe 28 mwezi Machi kwa lengo la kuimarisha ubabe wa chama kuelekea uchaguzi mkuu ujao.