Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asifiwa ubabe wake wa kisiasa kufuatia chaguzi ndogo zilizofanyika hapo jana

  • | Citizen TV
    31,020 views
    Duration: 3:15
    Rais William Ruto amesifia ubabe wake na wa chama cha UDA kufuatia chaguzi ndogo zilizofanyika hapo jana, akisema ushindi huo unaashiria imani ya wakenya kwake kwani ana ajenda ya kuwafaidi. Rais aliongoza sherehe za ushindi akisema kwamba ushindi huo unaashiria atawabwaga wapinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027.