- 1,387 viewsDuration: 2:48Rais William Ruto amewakashifu wapinzani wake wanaosema mpango wa kustawisha Kenya kufikia viwango vya mataifa tajiri zaidi duniani haiwezekani, akisema viongozi hao hawana maono. Akizungumza alipohudhuria tamasha Kaunti ya Turkana hii leo, Rais William Ruto amesema serikali itachimba na kutoa mafuta katika visima vya Turkana mwishoni mwa mwaka ujao.