Rais wa Uganda Yoweri Museveni anafanya ziara Kenya

  • | Citizen TV
    2,197 views

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni yuko humu nchini kwa ziara rasmi. Museveni alipokelewa na mwenyeji wake rais william ruto katika ikulu ya nairobi. Hebu tusikize ujumbe wao kwa taifa baada ya mashauriano ya muda.