Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto ameendelea na ziara ya maendeleo katika ukanda wa Pwani

  • | KTN News
    940 views
    Duration: 1:45
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Rais William Ruto aliendeleza ziara yake ya kufungua miradi mbalimbali katika ukanda wa pwani mapema leo akiwa Mariakani, kaunti ya Kilifi, ambapo alizindua kituo kidogo cha Mariakani pamoja na mradi wa kuunganisha umeme kupitia mpango wa Last Mile.Baadaye, Rais Ruto alielekea katika eneo la Makupa, kaunti ya Mombasa, ambako aliweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa soko la kisasa. Rais pamoja na viongozi wa ukanda wa pwani walisema kuwa miradi hiyo itachangia kukuza maendeleo na kufungua fursa za biashara kwa wakazi wa eneo hilo. Aidha, Rais alisema serikali imeendelea kuwashirikisha wananchi kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika ukanda wa pwani Follow the latest updates on the nationwide matatu strike in Kenya as operators protest rising fuel prices. Stay tuned for live coverage, traffic updates, commuter impact, government responses and reactions from across the country. Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews