Rais William Ruto awaonya mafisadi watakabiliwa

  • | Citizen TV
    2,319 views

    Rais William Ruto ametoa onyo kali kwa mafisadi kwamba serikali yake haitatetea yeyote atakayepatika akijihusisha na ufisadi. Ruto ambaye alikuwa katika ziara ya Siku moja eneo la Gusii kuzindua miradi mbalimbali, amekashifu upinzani kwa kufanya maandamano ambayo anasema yanapunguza kasi ya maendeleo. aidha ruto amewataka wakenya kumpa nafasi ya kufanya maendeleo akiahidi kuwa mikakati anayoweka itapunguza gharama ya maisha. Chrispine Otieno anaangazia ziara hiyo ya rais katika kaunti za kisii na nyamira