Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto awataka Wakorino kumpuuza kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    10,294 views
    Duration: 3:05
    Rais William Ruto amepuuzilia mbali matamshi ya kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua kupinga waumini wa dhehebu la Akorino kukutana naye katika ikulu ya Nairobi. Rais Ruto akitaja matamshi ya Gachagua kuwa ya kupotosha wakenya na yenye kuchochea ukabila,