28 Nov 2025 1:31 pm | Citizen TV 1,653 views Duration: 1:29 Rais William Ruto amezindua mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya Rironi kuelekea Mau Summit unaotarajiwa kugharimu serikali takriban shilingi bilioni 170.