- 168 viewsDuration: 3:01Rais William Ruto ametaja biashara ndogo na zile za kadri kuwa mustakabali wa uchumi wa taifa hili akisema ufanisi wao ni ukuaji na mabadiliko ya taifa hili. Rais Ruto aidha alisifia mradi wa kitaifa wa fursa za vijana kujiendeleza kiuchumi almaarufu NYOTA, akisema ni nguzo muhimu ya kuwawezesha vijana humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive