Seneti yataka ufadhili zaidi kwa hospitali ya Nyahururu

  • | KBC Video
    3 views

    Kamati ya bunge la seneti kuhusu afya inahimiza upanuzi wa muundombinu katika hospitali ya matibabu maalum ya Nyahururu ili kuiwezesha kuhudumia idadi kubwa ya wagonjwa kutoka kaunti ya Laikipia na kaunti nyingine saba jirani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive