Serikali inasema shughuli ya usajili wa bima mpya ya afya yaendelea vyema

  • | Citizen TV
    358 views

    Baraza la Magavana limeitaka serikali kuu kuhakikisha kuwa rasilimali za kifedha zinaandamana na utekelezaji wa bima ya Afya ya SHA. Kamati ya afya ya baraza hilo ilionya kuwa mafanikio ya mpango mpya wa huduma ya afya kwa wote yatahusishwa na jinsi serikali kuu itakavyolipia huduma zinazotolewa na kaunti.