- 123 viewsDuration: 2:55Serikali imeimarisha juhudi za kuwalinda vijana dhidi ya bidhaa za tumbaku na nikotini kwa kushinikiza sheria kali za udhibiti wa tumbaku. Wizara ya Afya imesema bidhaa mpya za nikotini zimefichua mapengo katika sheria ya sasa, na kusababisha kuwepo kwa mapendekezo mapya ambayo kwa sasa yako bungeni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive