Skip to main content
Skip to main content

Sherehe za Arsenal zaendelea nchini baada ya kutwaa ubingwa wa EPL

  • | Citizen TV
    1,610 views
    Duration: 2:08
    Mashabiki wa Arsenal wameendelea kusherehekea baada ya klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya miaka 22 ya kusubiri. Sherehe hizo zimeendelea katika maeneo mbalimbali nchini, huku mashabiki wakikongamana katika Milima ya Ngong kwa shamrashamra kubwa. Hii ni baada ya msimu wa ligi kuelekea ukingoni, ambapo mechi za mwisho za EPL zinatarajiwa kuchezwa Jumapili.