Shirika la IGAD lahimiza wanachama kuimarisha ushirikiano baina yao katika sekta ya uchumi

  • | KBC Video
    7 views

    Shirika la IGAD limetoa wito kwa wanachama kuwianisha viwango na kanuni za kustawisha uchumi wa baharini. Mjumbe mkuu wa shirika hilo, Fatma Adan pia ametoa wito kwa washirika wa kimaendeleo kupiga jeki sekta ya uvuvi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News