Shule zapandishwa daraja Nyamira

  • | Citizen TV
    76 views

    Baadhi ya wasimamizi wa shule katika kaunti ya Nyamira wamefurahia kupandishwa daraja hadi shule za kitaifa, hali inayoziruhusu shule hizo kutoa masomo ya mtaala wa CBE