Taarifa mseto za magatuzini

  • | KBC Video
    18 views

    Familia moja huko Malava, kaunti ya Kakamega inalilia haki baada ya jamaa wao kuuawa kufuatia mzozo wa ardhi. Familia hiyo inayosema imelazimika kuhama makwao na kutafuta hifadhi katika hospitali ya Malava inatoa wito kwa serikali kumtia mbaroni mshukiwa wa mauaji hayo. Kwingineko, wafanyakazi wa serikali ya kaunti ya Machakos wamekanusha madai ya kuiba dawa katika vituo viwili vya matibabu katika kauti ndogo ya Masinga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive